JamiiForums Usiku wa manane
Kwakweli kulala kumenishinda usiku na kama mwaka nimeunza hivi bora nikatafute kazi ya Ulinzi niwe nakaa macho kwa faida.
 
Ningelikuwa na wa kumkumbatia nisingelikesha hivi aisee.
kaka yangu mmoja alioa baada ya wiki akasimamishwa kazi. Mke tena ndoa mbiichii alikua anakesha kitako ata ham ya kumkumbati mkewe hana. Unaweza ukawa n mtu alafu usiwe na furaha ata usiku mnene ukashindwa kumkumbatia ili ulale.
 
Aisee hilo ni la kweli kabisa naliona kwa wenzangu ila sasa tutafanyaje.
 
Back
Top Bottom