JamiiForums Usiku wa manane
jaman, nimeshtuka hapa usingizini, napapasa kuona kama kuna papuchi kumbe nipo peke yangu.

Nani wa kuniliwaza?

Embu toka hapo chumbani nenda sebuleni utakutana na mwenzio nae alitoka chumbani akakimbilia sebuleni sasa mkikutana hapo mtaliwazana
 
Embu toka hapo chumbani nenda sebuleni utakutana na mwenzio nae alitoka chumbani akakimbilia sebuleni sasa mkikutana hapo mtaliwazana
jaman shem, hatuja umbiwa roho mbaya hivyoo!!

Embu tusaidiane kuondoa hili tatizo
 
jaman shunie, hata wewe?
Unanijubu hivi kweli?

Kweli naona siwez pata msaada hapa
Kweli Mangi huyo ndio ataweza kukusaidia ujue mtafute akuliwaze tunakupenda ndio mana ndio tumekwambia umtafute

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Kweli Mangi huyo ndio ataweza kukusaidia ujue mtafute akuliwaze tunakupenda ndio mana ndio tumekwambia umtafute

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Hapana kwa kweli,
mm humu kumbe sina rafiki,
rafiki wa kukujali,
katika hali,
nimegundua wote ni madalali.

Ngoja nilale tu
 
Back
Top Bottom