Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,367
- 96,651
02;;59
shem haulali tu03:15
Story yangu inaanza mwaka 1975 nikiwa nna miezi mitatu tumboni kwa bimkubwa wangu.Mwenye story
hahaha kumbe uli maanisha picha ya game 🤣😅
Ina sikitisha sana, wewe sio wa kufanyiwa ubaya huo 🤣😅Story yangu inaanza mwaka 1975 nikiwa nna miezi mitatu tumboni kwa bimkubwa wangu.
Kuna siku bimkubwa alitapika bao, kumbe n mm nimepiga nyeto humo ndani 🔥
Jana ilikua holiday so kikawaida Kila jioni nikitoka Job Huwa muda ya saa moja mpaka saa mbili Huwa napiga konyagiiii ndogo yangu moja toshaaaaaa.shem haulali tu
Mbona upo macho muda huu??To yeye Ertugrul Bey amkeni bwana mnalala hovyo
ooh sawa sameja nimekupata,,, enwei lete habariJana ilikua holiday so kikawaida Kila jioni nikitoka Job Huwa muda ya saa moja mpaka saa mbili Huwa napiga konyagiiii ndogo yangu moja toshaaaaaa.
Sasa Jana nikianza saa nane mchana mpaka saa 12 nikaenda home Nika hang na familia saa tatu na nusu nikaingia kulala saa sita Nika amka nikanywa maji ya baridii na juisi.
Kikawaida pombe ikiisha KICHWANI usingizii unakata hapo kulala ni saa 12 asubuh.. ndipo usingizii mzitooo utakapo nijia
Nipo macho shem
nikwambie ukweli au nikudanganyeMbona upo macho muda huu??