Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,973
- 25,580
Ipo siku watakuelewa tu,kikubwa huwavunjii heshimaMimi Sasa hivi naitwa mjeuri sababu ya kuwa na msimamo
Ipo siku watakuelewa tu,kikubwa huwavunjii heshimaMimi Sasa hivi naitwa mjeuri sababu ya kuwa na msimamo
Ngoja niwatag tuanze kukesha tena aiseeumemsahau Hope urassa na Fake P ili crue ikamilike da kidoti
kwa kweli huku hapanogi bila kelele za hapa na paleNgoja niwatag tuanze kukesha tena aisee
🤣🤣Bila story hakunogi aiseekwa kweli huku hapanogi bila kelele za hapa na pale
kabisa unajikuta unahang' tu hakuna sehem ya kwenda🤣🤣Bila story hakunogi aisee
🤣🤣🤣 Huna sehemu ya kwenda? Kwani kitanda unakuwa umekifanyaje cute?kabisa unajikuta unahang' tu hakuna sehem ya kwenda
Yeah,nimemaliza mom,Mungu mwema kwa kweli 🙌 mh!
magodolo yameloa sis,,🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Huna sehemu ya kwenda? Kwani kitanda unakuwa umekifanyaje cute?
wow hongera sana,, kwahiyo ninyi wakubwa hamfanyi graduation😅😅😅😅😅Yeah,nimemaliza mom,Mungu mwema kwa kweli 🙌 mh!
Word sis,it sounds similar wajameni.magodolo yameloa sis,,🤣🤣🤣
Waswahili kaka noma Huu ujeuri wanasema siwaheshimu maana sifati vile wanavyotaka.Ipo siku watakuelewa tu,kikubwa huwavunjii heshima
Mwezi 12 tunafanya,karibu sanawow hongera sana,, kwahiyo ninyi wakubwa hamfanyi graduation😅😅😅😅😅