Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
02:00 exposure muhimu
😀😀😀Vitu vinavyokosesha usingizi ni viwili tu....
Madeni au nyege
2:55 AM😊
Wacha bhangi😂Vitu vinavyokosesha usingizi ni viwili tu....
Madeni au nyege
2:55 AM😊
Members wa usiku wa manane punguzeni madeni na upwiru mpate usingizi.Wacha bhangi😂
Madeni Sina mkuu, upwiru siendekezi kichwa Cha chiniMembers wa usiku wa manane punguzeni madeni na upwiru mpate usingizi.
Kinachofanya usilale ni nini sasa jamani.....Madeni Sina mkuu, upwiru siendekezi kichwa Cha chini
Akili na mwili wangu ndivyo ulivyo, since mtoto.Kinachofanya usilale ni nini sasa jamani.....
Mi ni huu utajiri wangu, nakesha napiga hesabu za mali zangu 😁
Hongera sana ratiba nzuri.....Akili na mwili wangu ndivyo ulivyo, since mtoto.
sipendi kulala, nawaza Soma vitabu au kuangalia movie usiku mzima.
nili wahi umwa kisa kuto kulala, mwili una chemka 😂Hongera sana ratiba nzuri.....
Mi kichwa huwa kinauma siku nikilala masaa machache labda manne hivi kichwa kinauma.nili wahi umwa kisa kuto kulala, mwili una chemka 😂
hiyo Nisha sikia kwa watu, sema Mwaka Jana nilipo pata ajali ndio nili lala Sana.Mi kichwa huwa kinauma siku nikilala masaa machache labda manne hivi kichwa kinauma.