Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
0135+
AWEE ili iweje mkuu muache atakaye muokota naye ajipigie tu ila number sikupiPiga mzigo huo mkuu.
Au nipe namba yake
Huonekani humu jukwaani dogo au muaunt kakutekea mahala pake😅Time tell us
Mamitihani....Huonekani humu jukwaani dogo au miaunt kakutekea mahala pake😅
UEMamitihani....
Bado kuna ma aunt yaan kuchanganyikiwa tuu 😂😂😂😂😂😂😂
Nilikwambia uwe unaita kwa adabu unaita kwa cheo. Sio unaita kama unaita Malay*** 🤣🤣 kauli za kijesh
Hutaki nipate dhambi na Mimi mkuu?AWEE ili iweje mkuu muache atakaye muokota naye ajipigie tu ila number sikupi