Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,440
Mzee nime cheka Sana 😁, Jamaa Ali ona mbali Sana, 🤣.Vijana mna mambo 😅🙌
Mwaka 47 tukiwa tunajifunza Methali na Nahau
Tulikuwa tunasoma na Mhindi mmoja, alipoulizwa na Mwalimu hiyo methali ya Mtaka cha Uvunguni ......jamaa akajibu sharti unyanyue Kitanda 🙌
Ingekuwa miaka yenu hii ningesema lile jibu alitoa Intelligent businessman mwenye uraia wa Bombay 😅
Wahuni sio watu kabisa😂😂