Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,186
- 27,098
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Njoo unisaidie
[emoji124] [emoji124] [emoji124]Njoo unisaidie
Hapa nilipo macho makavu. Baada ya kutoka misele nililala kidogo ili niweze kucheck mechi. Naona leo kuna dalili za kutoboaWalibakiwa na nguvu ya soda tu
Waondoka tena[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Asante sana mkuu niko pamoja na nyieKaribu mkuu
Unaenda kulala eenh?[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tupo mkuuWatu wamepotelea wapi hii saa nane ngoja niendelee na lindo[emoji61]
Allaaaaaaaaaaah akbarrrrr!!Kumekucha
Na makucha yakeKumekucha