Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,793
- 9,069
🙏🏽nimeitwa mama hadi nimejiskia upepo mzuri moyoni khaa
🙏🏽nimeitwa mama hadi nimejiskia upepo mzuri moyoni khaa
Mnataka nilog out?![]()




Unaona raha niendelee kuskiliza story za unavyounguruma? sameja wewe ni muhaya wa wapi?

we sikiliza tuMiss i'd inajina tamu
log tu labda nitapata amani kweny mahusiano yangu![]()
Siku sameja akikwambia mama jeni bai bai nitakuchachua. mahi utrapendakwan unamuonea gerewe sikiliza tu
🤣🤣🤣🥴💋💋🙏🏽Miss i'd inajina tamu
🤣🤣 mkorofi wewe🙌🏿Siku sameja akikwambia mama jeni bai bai nitakuchachua. mahi utrapenda
😳mbona mapema sana mkuu?Usiku mwema
Kwema mkuu. Shida nini?Kwema humu ndani since jana sipo vizuri 😭😭😭😭😭😭
Jana niliumwa presha kaka 😭😭Kwema mkuu. Shida nini?
Pole sana bro. Vipi hali yako kwa sasa?Jana niliumwa presha kaka 😭😭
Nipo fresh ila sio saaanaPole sana bro. Vipi hali yako kwa sasa?
Tumia dawa na chakula kwa wakati, balance your emotions naamini utakaa sawa mkuuNipo fresh ila sio saaana
Yanga..!😂Jana niliumwa presha kaka 😭😭
Siku sameja akikwambia mama jeni bai bai nitakuchachua. mahi utrapenda

