Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,146
Kwa haya anayonifanyia sina budi kusema Me too
yan mpka nataman nitume voice note[emoji23][emoji23][emoji23] mods waweke option ya kutuma v. note
nakupenda wew na huyo to yeye wako[emoji8]
Kwa haya anayonifanyia sina budi kusema Me too
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wee...sema kweli cute? [emoji29]
Option mbona ipoyan mpka nataman nitume voice note[emoji23][emoji23][emoji23] mods waweke option ya kutuma v. note
nakupenda wew na huyo to yeye wako[emoji8]
Option mbona ipo
Hizo kisses mwili wani...😋Hapo unemaliza 🥰
Kumbe kuna kuachwa tena 😳🥺🤣🤣 na siku ya kumtupa tutamtupa sikumoja🥴....hayo machozi atakayomwaga😓 maskini
Ongea na mods vizuriacha basi
wasamaria na mama huruma hatujaisha, nyota yake kali mnoo hatokosa pote 🤣🤣🤣🤣 na siku ya kumtupa tutamtupa sikumoja🥴....hayo machozi atakayomwaga😓 maskini
🤣🤣🤣 na mnavyomnyemelea☹️wasamaria na mama huruma hatujaisha, nyota yake kali mnoo hatokosa pote 🤣🤣
🤣🤣🤣 siye walinzi wa mchana mkuuNimekuja kuchukua lokooo...
Anza huko kushoto.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Uzi unaitwa ""JamiiForums Usiku wa manane""" ila kuna viumbe humu mchana kweupe wana zunguka
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 😂😂😂😂😂
Hawa hawaishi Tz mkuuNimekuja kuchukua lokooo...
Anza huko kushoto.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Uzi unaitwa ""JamiiForums Usiku wa manane""" ila kuna viumbe humu mchana kweupe wana zunguka
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 😂😂😂😂😂