Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,819
- 113,382
Baridi la dom na upepo ni balaa tupu.12:13
Dodoma muda huu kuna mvua.
Kuna baridi la kufa mtu leo.
....sijui nifanyaje...🤔🤔🤔!!!
Baridi la dom na upepo ni balaa tupu.12:13
Dodoma muda huu kuna mvua.
Kuna baridi la kufa mtu leo.
....sijui nifanyaje...🤔🤔🤔!!!
Acha ugomvi kijana... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una jua sahvi tuking'oana meno hayaoti tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo pamoja...Hapo Njema Sana Mkuu.
Kwenye Kimvua Hiki Mbona Penyewe Sasa Usisababishe Ndugu Yetu Huko Amwage Hadi Ubongo.😂12:13
Dodoma muda huu kuna mvua.
Kuna baridi la kufa mtu leo.
....sijui nifanyaje...🤔🤔🤔!!!
Hata Dakika 10 Mbele Sitoboi MkuuTupo pamoja...
Mda gani unatuachia lindo mkuu hapa jukwaani..
Ukitaka kujua nipo fasta,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] samaleko 0018
MM na wewe tena yan hapa kamiss Chizi Maarifa na Mzee wa kupambaniaMapema kabisaaaa 😂😂😂🙌🙌🙌
Umejuaje
😂😂😂😂😂 Ndo wale wa kufata ratiba ya kulala masaa 8 mkuu 😂😂Hata Dakika 10 Mbele Sitoboi Mkuu
12:13
Dodoma muda huu kuna mvua.
Kuna baridi la kufa mtu leo.
....sijui nifanyaje...🤔🤔🤔!!!
Njooni ilazo hapa tujenge nchiBaridi la dom na upepo ni balaa tupu.
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌MM na wewe tena yan hapa kamiss Chizi Maarifa na Mzee wa kupambania
Dah kweli ni taifa haswa😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Unaambiwa hilo taifa halina bendera
Ila ni serikali tosha hapa 😂😂😂
😂 nchi inajengwa na vilevi sio?Njooni ilazo hapa tujenge nchi
Fanya hivi.. mnipitie 4wayNjooni ilazo hapa tujenge nchi
Acha ubahili....😂😂😂😂 nchi inajengwa na vilevi sio?
we nenda ukalale nalaFanya hivi.. mnipitie 4way
Walizani choo cha kukaa, ....00:22. Hawawezi kwenda haja ndogo wamesimama.... Ila wana uwezo wa kufanya sisi tunachofanya