HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Acha tu kuna mambo flan flan yananifanya nakosa usingizi![]()
kama wanafunzi sio
Acha tu kuna mambo flan flan yananifanya nakosa usingizi![]()
kama wanafunzi sio
sawaNjoo tukeshe wote.. Ukishindwa kutoboa toa dau!!
Dau la nn?Leo nakesha na ninaweka dau
Ooho!! Ila mbali ujue ndio mana nimeiwaishaKabisa yaniii
Tangia nimeamka jumapili asubuhi sijalala mpaka saizi. Insomnia tatizo ndio linanisumbiaAlafu hizi siku mbili tatu nimetoboa ozone
Vifungua kinywaDau la nn?
Wazee wa kubet viroho vina dunda dunda. Utaweza lakini?Leo nakesha na ninaweka dau
Yap hayo niambie mim ni councellorAcha tu kuna mambo flan flan yananifanya nakosa usingizi
Mbona bado siku5Ooho!! Ila mbali ujue ndio mana nimeiwaisha

Utaweza mpendwa wanguLeo nakesha na ninaweka dau
Aisee!! Daah ila wewe sikuwez mwee mweeeMbona bado siku5![]()
subiri uone lisaa lmoja tokea sasaUtaweza mpendwa wangu
Duuuh bora nilale nipate afya nikueVifungua kinywa

Haya ngoja nikae kitakosubiri uone lisaa lmoja tokea sasa

Leo tarehe 20 wew unasema bado siku5
Hamna bhan me kalenda yngu inaonyesha bdo siku 5Leo tarehe 20 wew unasema bao siku5
Inaelekea kuna kitu..... sio bure huo mwaka ujao
Daah ya kichina hiyo sasa polee sanaHamna bhan me kalenda yngu inaonyesha bdo siku 5