Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,146
Exactly, huku ukisindikiza na ka smile kwa uchokozii[emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hakika umefanikiwa kunifany nitabasam wakat sikua na mpango[emoji41]
Exactly, huku ukisindikiza na ka smile kwa uchokozii[emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787]
🤣🤣kwani hua unapanga kutabasamu.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hakika umefanikiwa kunifany nitabasam wakat sikua na mpango[emoji41]
Ondoa shaka, najua macho yakianza kubadilika badilika tutaanza kuongea lugha mojawoi unampango wa kunipelek ahela mapema eee[emoji16] we sio mtu mzuri inabidi nikuepuke
Sameja hoi ugoro mwingi 🤣00:38 Lindo liendelee
Watabaki masinia bachela tu00:38 Lindo liendelee
Simba mzee mwendapole🤣🤣Ondoa shaka, najua macho yakianza kubadilika badilika tutaanza kuongea lugha moja
Sameja hoi ugoro mwingi 🤣
Bado nipo wakubwaWatabaki masinia bachela tu
[emoji1787][emoji1787]kwani hua unapanga kutabasamu.
Tabasamu zaidi basi[emoji1787]
Kuna baridi kali sana huku, unanisaidiaje 😀Simba mzee mwendapole🤣🤣
Acha kazi kaa nyumbani lea familia 24hrs alafu ulete mrejesho.Abiria chunga mzigo wako; kati ya familia na kazi ipi bora?
Ondoa shaka, najua macho yakianza kubadilika badilika tutaanza kuongea lugha moja
00:38 Lindo liendelee
😂si unatunza kicheko cha baadae kwenye siku yenu we nuna tu then ulale😕😅[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] em acha basi unanifany nicheke bila sababu khaa,, bt saiv nipo serious sura ya kazi[emoji853]
Utachukua gundi ubandike machoni ili usilembue macho 😀 😀[emoji16] hata sitamani kufika hukoo kweny kulembua lembua
Ondoa wasiwasi tupo pamoja lindonidalili za hatari hizi
[emoji23]si unatunza kicheko cha baadae kwenye siku yenu we nuna tu then ulale[emoji53][emoji28]