mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
hutaki au😂Nimetulia hapa nasikia gari la matangazo
"Wanawake tunawezaa tunawezaa" kumbe wanajiandaa na siku yao😂
hutaki au😂Nimetulia hapa nasikia gari la matangazo
"Wanawake tunawezaa tunawezaa" kumbe wanajiandaa na siku yao😂
Hayo mambo hapana mkuu tupo kwenye mfungo 🙈[emoji38][emoji38][emoji38] hata sijui nacheka nni,,, mambo hayo hayo ulokua unamalizia
ushawahi kuona uvivu kulala?
Wanaupiga mwingiNimetulia hapa nasikia gari la matangazo
"Wanawake tunawezaa tunawezaa" kumbe wanajiandaa na siku yao😂
Hayo mambo hapana mkuu tupo kwenye mfungo [emoji85]
unapenda kulala na unakesha?hapan sijawahi maan napenda sana kulala, labda kula ndo huwa napat uvivu mda mwingine
Nimetulia hapa nasikia gari la matangazo
"Wanawake tunawezaa tunawezaa" kumbe wanajiandaa na siku yao[emoji23]
unapenda kulala na unakesha?
Tarehe 8 siku ya wanawake ety😂siku ipi tena
A wapii😂Wanaupiga mwingi
Makelele kusumbua watu usiku😂😕hutaki au😂
Tarehe 8 siku ya wanawake ety[emoji23]
nini shida?natamani nisinzie akiiii[emoji17]
Swali limekaa kimtego sanawe umeelewa mambo gan[emoji2957]
Sio wewe ndo mwenyewe bila hilo gari nisingejua😂ahaaaaa sawa ila huw sielewag hay mamb ya duniani labd mpk yapostike huk JF au nione status[emoji23] nipo nyuma sana wallah
nini shida?
Kwenye hilo gari hujaona mabango?A wapii😂
Sio wewe ndo mwenyewe bila hilo gari nisingejua[emoji23]
hesabu kuanzia 300 kurudi nyuma, usingizi utakujashida ni kukoswa usingiz tu nothing more
Swali limekaa kimtego sana