JamiiForums Usiku wa manane
Ahahaaa wewe ni shidaah
Ila wengine tungeelewa unaifanyia testing ili ziingie sokoni
hahahaa
eeeh
tumepewa wachache sana sasa naona skeptikalz wangekuwa ni mingi .
ila najua at least wewe ungeniamini
 
hahahaa
eeeh
tumepewa wachache sana sasa naona skeptikalz wangekuwa ni mingi .
ila najua at least wewe ungeniamini

Kabisa huwa sina mashaka na vitu vidogo vidogo kama hivyo ni mwendo wa kukubali nje nafsini najisemea kama ni uongo utajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom