dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Bwana wee hata sijui wamejificha wapi hawa watu,maana siku hizi watz tumegeuka akina Tola mlia gizani ili watu wasije kudowea....

Bwana wee hata sijui wamejificha wapi hawa watu,maana siku hizi watz tumegeuka akina Tola mlia gizani ili watu wasije kudowea....

Ni kweli kabisa. Unazi sio mzuri na ndio sababu ya nchi inashindwa kusonga mbele kimaendeleoNa ukiwa nje ndo unapata fursa ya kuona vyema yanayoendelea vyamani. Vinginevyo utakuwa wa kusifia kila lifanywalo na chama chako na kupinga kila linalofanywa na mpinzani wako.
Umeimbwa na nani? Huyohyuo babu seya?Kuna ule wimbo wao wa salima naukubali sana.
Umenikumbusha story ya kitambo sanaBwana wee hata sijui wamejificha wapi hawa watu,maana siku hizi watz tumegeuka akina Tola mlia gizani ili watu wasije kudowea....
Umenikumbusha story ya kitambo sana
hizi story zilitujenga sana sisi wahenga wa leoWacha kukicha salama niutafute niusikilizePapi kocha salima mzuri kweli
Kipindi hicho nikisimuliwa hiyo na ile ya pazi na jogoo nilikuwa naogopa kweli yaan naona kama vitu vipo katika uhalisia![]()
![]()
![]()
hizi story zilitujenga sana sisi wahenga wa leo
Kipindi hicho nikisimuliwa hiyo na ile ya pazi na jogoo nilikuwa naogopa kweli yaan naona kama vitu vipo katika uhalisia
hizo story huwezi wapa watoto wa kileo wakakusikiliza hata hata kwa dakika mojaWatoto wa siku hizi wamechangamka sana ila naona kama wana miss vitu vingi mno![]()
![]()
![]()
hizo story huwezi wapa watoto wa kileo wakakusikiliza hata hata kwa dakika moja
Utandawazi unawachangamsha mapema.Watoto wa siku hizi wamechangamka sana ila naona kama wana miss vitu vingi mno
Ni kweli wanajua mambo mengi tofauti na umri waoUtandawazi unawachangamsha mapema.
Huyo atakuwa ameingia kitandani,mbona huku mitini simuoni?Dingi mtoto umeingia mitini au sio

Asee best nikuage,naona macho yangu yanataka kukizidi kichwa uzito.....sijui yamekua sanaNi kweli wanajua mambo mengi tofauti na umri wao

Aisee huenda. Leo popo wawili ndio tunatambaHuyo atakuwa ameingia kitandani,mbona huku mitini simuoni?![]()
![]()
![]()
Usiwaze. Usiku mwemaAsee best nikuage,naona macho yangu yanataka kukizidi kichwa uzito.....sijui yamekua sana![]()
![]()
![]()
![]()