JamiiForums Usiku wa manane
Jaman Mimi naanza kulala mkikutwa na mkubwa we dar msimlaumu, muda wa kulala mnaujua.
Huyo mkubwa wenu anawaharibu mjue,mnalalaje mapema yote hii kwani nyie ni kuku?

Sisi wa mikoani tunakesha kama kawa
 
mwl.kajiumbua mwenyewe kuwa atajaribu u sebule,mimi nilichokifanya ni kuunganisha vidotidoti tu....
Jamani muache Mwl apambane na hali yake, na ukatili wenu nikiwapa adhabu mnaniletea frustration tu.

Yaani mwanafunzi hajui kuinama na kushika masikio
 
Back
Top Bottom