Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
😘mguu kwako tuPoa mrembo
Nimekuhamu hadi naumwa
😘mguu kwako tuPoa mrembo
Nimekuhamu hadi naumwa
Muache asomeuzingizi kwisha🤣
au leo hujapata chips mayai🤣
Unafikiri nalalaga basi😕uzingizi kwisha🤣
au leo hujapata chips mayai🤣
🤣🤣🤣 jamaniMuache asome
si ulisema ukila mayai 4 unalala🤣Unafikiri nalalaga basi😕
🤣🤣🤣si ulisema ukila mayai 4 unalala🤣
aisee nilicheka ile siku hujui tu
ipo kwenye huu uzi uliiandika mwaka mpya🤣🤣🤣
Sikumbuki Hebu tuone hiyo comment
Siwezi kuifuta.ipo kwenye huu uzi uliiandika mwaka mpya
najua utaifuta🤣
Ms eyes 🤣Kula mayai ya kuchemsha utalala tu, kama mimi hapa nimeshajikulia zangu manne usiku huu nataka kulala sasa😌
🤣🤣🤣
Umepotea sana madam🤣🤣🤣 jamani
Hupatikani kabisa mkuu.Umepotea sana madam
Afadhali hata umekuja 🤣🤣🤣
Nipo bossHupatikani kabisa mkuu.
Mimi kila siku Nipo ila wewe unaingia kwa manati sanaa😕
Sasa mimi nikimuacha asome halafu wewe unamsumbua si kazi bure?Nipo boss
Tatizo kila nikiandika uzi au comment mshamba_hachekwi anafuta yaani huyu jamaa haya mamalaka aliyopewa hapa jf anayatumia vibaya kuninyanyasa😁😁😁
😂😂😂Nipo boss
Tatizo kila nikiandika uzi au comment mshamba_hachekwi anafuta yaani huyu jamaa haya mamalaka aliyopewa hapa jf anayatumia vibaya kuninyanyasa😁😁😁