Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
00:29, nakojoa pazuri 🤒
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]niko nimekaa hapa nawaza nitapata wapi lidoli lile la silicon la elon musk
Maamaaaeeh [emoji23][emoji23][emoji23]01;23 mwenye zamu ya kununua luku, karudi na mshumaa[emoji855][emoji2]
Tuombee tu sisi vijana wenu maana nipo bar toka saa kumi na mbili jioni na hapa sioni dalili ya kuondoka kwa hii mikito ya Dj na vidada vya hapa..Muda wa Wazee kujiandaa na Ibada ili kuendelea kuwa karibu na Mola
Saa 02:26
Msalimie wao ni waoTuombee tu sisi vijana wenu maana nipo bar toka saa kumi na mbili jioni na hapa sioni dalili ya kuondoka kwa hii mikito ya Dj na vidada vya hapa..
Wacha niponde raha kwa mola nitarejea
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
😁 ngoja nikae kimyaOoh, Wana jua Sina salio- ila Waki taka show.
👉Show Kali😄🤒
Zijamtia machoni kwa haya majuma kadhaaMsalimie wao ni wao
Itakuwa ana umwa, au kafa🤣😃🤒