Pole sana mkuu3:27 naumwa nimeshindwa kulala
Ahsante Mkuu. Nahisi ni kitu nimekula maana kifua kimebana siyo kawaidaPole sana mkuu
Ulikula nini?Ahsante Mkuu. Nahisi ni kitu nimekula maana kifua kimebana siyo kawaida
Ugali na samaki. Samaki wa maji chumvi ila jina lake sijalipata badoUlikula nini?
Sawa, ukiona hali inaendelea usiache kwenda hospitaliUgali na samaki. Samaki wa maji chumvi ila jina lake sijalipata bado
HahahahaNimemiss nilivyokua mdogo
Nikilala kushtuka ni asubuhi kumekucha!😒
Oya nusu albino, tafuta chumba ulale.23:44
wamwisho kulala, wakwanza kuamka.Oya nusu albino, tafuta chumba ulale.
👉Wewe sio popo🤣😀🤒
And your real name is nusu albino🤒wamwisho kulala, wakwanza kuamka.
Dey kolmi half way half american dan dara booomba
My real name is my real name very unique oneAnd your real name is nusu albino🤒