Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,244
😃😃😃 Tired 😴
Crush tena....Poor Brain crush wako dahan umemficha wapi
wewe ndo bestie yake inakuaje hujui alipoCrush tena....
Kuhusu dahan tumuulize intel kaka 🤓🤓🤓🤓
Sijajua mkuu...wewe ndo bestie yake inakuaje hujui alipo
zamani sanaSijajua mkuu...
Mwisho wa mawasiliano nae nj humu humu 🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Ila mybe yupo mara ya mwisho kumuona huku lini..?
Soon na log off.... afu namwangalia kelvin hart...zamani sana
haya kalale
kumbe wewe ni mtu wa IT na husemiThen nile database
Hapana...kumbe wewe ni mtu wa IT na husemi
sasa database unatumia wapiHapana...
Kuna vitu ni basic no matter what....
Utagusa tu... 🤓🤓🤓🤓🤓🤓✍️✍️
🤓🤓🤓🤓🤓🤓sasa database unatumia wapi
acha chenga
wewe uko wapi hapo🤓🤓🤓🤓🤓🤓
It
Data science
Cyber security
Computer s
Telecom
Networking
Broadcast eng
Software eng
Woteeee hao wanasoma database...
Ni basic tuu
Mii hapo ndio nafundisha sasa 🤓🤓🤓✍️✍️✍️✍️🙌🙌🙌🙌wewe uko wapi hapo
lecturer sioMii hapo ndio nafundisha sasa 🤓🤓🤓✍️✍️✍️✍️🙌🙌🙌🙌
Bado sijafikia huko...lecturer sio