Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,912
- 28,204
Ndio nimeona sasa hivi.Kwenye uzi wake anasabahi mmoja mmoja🤣
I love vayolensi, ngoja niende chap 😎Mtag aisibreka kule basi😁
Wanahitaji dose kali watulizane🤣Ndio nimeona sasa hivi.
Yule Haszu na kale ka gunner ni jamii moja tu,ni sawa na njegele na mbaazi.
Uniite jamani 🤣I love vayolensi, ngoja niende chap 😎
Nshamtag, ngoja akienda kukiwasha ntakuitaUniite jamani 🤣
Huu sio muda wa kupigizana kelele na wale wanuka haja kubwa.Wanahitaji dose kali watulizane🤣
Unawapatia sana🙌🏾
Safi! Hivi kwanini hatukuzaliwa mapacha??🤾🏾Nshamtag, ngoja akienda kukiwasha ntakuita
Kabisaa! Kula kishungi mzee maisha enyew mafupi haya!💥Huu sio muda wa kupigizana kelele na wale wanuka haja kubwa.
Bado tunaweza kufanya jambo 😎Safi! Hivi kwanini hatukuzaliwa mapacha??🤾🏾
Umekuja kama M/kiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya...!Umebadili jina bila kunishirikisha sijapenda, siku nyingine usirudie tena. Ni onyo
cc: The Gworl
Bcc: mshamba_hachekwi(Seran )
Nimekumiss sana Lt.col wangu😍Umekuja kama M/kiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilaya...!
Mtu nimekaa zangu nimetulia.
Nipo Maj General wetu..Nimekumiss sana Lt.col wangu😍
Hili jina la sasa mbona sio unyade, fanya kurudisha ile fake P🙏