Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,908
- 61,653
😀😀😀 tatizo hatutaki kulima300k/mwezi kwa ajili ya kulala kwa watu
hela rahisi sana
😀😀😀 tatizo hatutaki kulima300k/mwezi kwa ajili ya kulala kwa watu
hela rahisi sana
sina shamba babu😀😀😀 tatizo hatutaki kulima
Yapo mapori mengi tu, unalima, unavuna unawaachia shambasina shamba babu
mimi kijana kilimo naona ni ushambaYapo mapori mengi tu, unalima, unavuna unawaachia shamba
Unataka nani akulimie ugali?mimi kijana kilimo naona ni ushamba
Mbona uli enda chuo😀😂😃, SI unge kuwa mlinzi. Usikilize watu waki Pigana mashine😂🤣🤣300k/mwezi kwa ajili ya kulala kwa watu
hela rahisi sana
Niko huru sasamideko naskia wamekufungulia kule unasumbua kweli kweli