Wee bustani ya kulimwa usiku usiku famchezo nini🤣🤣🤣Hahahahaha
Wee bustani ya kulimwa usiku usiku famchezo nini🤣🤣🤣Hahahahaha
Unawaza ngono tu.🤨..... Mxiuuu🤣🤣🤣🤭 Morning Glory umepigwa?
MaEngineer wamehamia hapo, naona Beer zinanyweka kama Maji 🤪Ila huyu kitambaa cheupe anajaza hadi kero
Mzee wa no malice .....I mean no malice to nobody 🤒
Hahahaha,ndio muda mzuri wa kilimo bora cha bustani za mboga mbogaWee bustani ya kulimwa usiku usiku famchezo nini🤣🤣🤣
Kuna mama mdg mmoja hapa ndio pakumpatiaMaEngineer wamehamia hapo, naona Beer zinanyweka kama Maji 🤪
Sisi Wazee wa kuchoma 🍗 tunaendelea kuzitafuna kuanzia jikoni 🤗
Ni kweli😂😂😂Hahahaha,ndio muda mzuri wa kilimo bora cha bustani za mboga mboga
Kabisa, mpelekee round 1 ya bucket ya Savanna kisha mbadirishane namba za simuKuna mama mdg mmoja hapa ndio pakumpatia
Huyu kuku wangu ,bia zake tatu najibebeaKabisa, mpelekee round 1 ya bucket ya Savanna kisha mbadirishane namba za simu
Mbinu kutoka kwa Kijana wa zamani, Mzee wa sasa🤪
Hahaha...............umenikumbusha miaka ile kabla ya Uhuru, mbinu ya kuondoka na Mchuchu Disko vumbi 🤪🏃🏃Huyu kuku wangu ,bia zake tatu najibebea
Babu yaoWale Vijana wenye nguvu, huu ni muda wa Morning glory
Sisi Wazee jambo hili halituhusu kutokana na Umri 🤪
Hapa nauvutia kasi usingizi huku navuta Kiko yangu 🤪Babu yao
Kalale sasa uwaachie vijana lindo
bana wew huoni... Haifunguki bana...Iki nini