JamiiForums Usiku wa manane
My Dear Cheusi,
Men might ignore you at work but atleast you can cybesr-stalk me when you get home using an online alias. I know you're already on here somewhere. Holla!
O3:02
 
Achana na mapenzi nshamkula kalala hapa geto mm bodaboda wake
 
Jamani usiku huu ni mzuri sana kama mtu unashida ukaamuwa kuweka simu yako pembeni walau Umuombe Mungu akutatulie jambo lako lolote unaloliona gumu Mungu atalifanyia wepesi jaribu utakuja kunishukuru
 
Umenena vyema tatizo wenzio hapa baa ndo pamekolea
 
Achana na mapenzi nshamkula kalala hapa geto mm bodaboda wake

😂😂😂😂🤫😤

Ushamukula.😁😁
Huwa halali nje hata kwa Dawa, na hajawahi kupanda bodaboda(madai yake) Hatahivyo Shangazi hili lipo Bahari linetulia kwake, kesha nitumia junbe hapa Joburg.
 
Huo ujumbe tumekutumia wote na anapandaga sana ili kukupoteza Raman fanya mazoezi bro kitambi kinakucost sana leo kanipa ndogo
 
Back
Top Bottom