Kumekucha kumekucha, tujikumbushe ahadi kumi za mwanatanu
Mjukuu, hujalala tubabu
Situko kazini?Ebu tujiulize swali kwanza, kwanini mpaka mida hii sisi hatujalala; kwa nini tunageuza mchana kuwa usiku?
Kazi ya uumbaji unamuachia nani?Situko kazini?
Si tuko macho mida ya wangaEbu tujiulize swali kwanza, kwanini mpaka mida hii sisi hatujalala; kwa nini tunageuza mchana kuwa usiku?
Umenikumbusha kwenye yale maandiko, mfalme akamtuma askari wake aende vitani, ili mfalme aweze kumfaidi mke wa askariNakazia
Ghafla anakuibukia hapo, vipi utakimbia au utafanyaje?Si tuko macho mida ya wanga
Mwamba mfalme Daudi alimtuma Uria aende vitani tena aliagiza awekwe front ili auwawe kabisa mzee afaidi vizuri mbususu ya demu wa mwenzieUmenikumbusha kwenye yale maandiko, mfalme akamtuma askari wake aende vitani, ili mfalme aweze kumfaidi mke wa askari




Mkuu weed limekolea hapa akija ntamuona kama malaika tuGhafla anakuibukia hapo, vipi utakimbia au utafanyaje?
😀😀😀 inawezekana na wewe muda huu upo lindoni, kumbe kuna wengine wanapambana kuleMwamba mfalme Daudi alimtuma Uria aende vitani tena aliagiza awekwe front ili auwawe kabisa mzee afaidi vizuri mbususu ya demu wa mwenzie![]()
Itakuwa kachanja huyo ndo mana hausikii pombeeNipo, Na Mshangazi, Haulewi Kila Ninavyoagiza