Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,382
- 95,770
Hapa wapi ? Nami niko masaki ,bongoyo road /Streetanzia hapa dumbukia, ingawa hapo nimetoka naeleka masaki
Hapa wapi ? Nami niko masaki ,bongoyo road /Streetanzia hapa dumbukia, ingawa hapo nimetoka naeleka masaki
ndio kagomaaa sasa 😅😅😅😂 😂 aje atueleze namna ya kuwa tajiri nasisi tusome comments tu
kama atanigomea hadi mimi basi itakuwa n kweli kawa tajirindio kagomaaa sasa 😅😅😅
tusubiri huruma zake
pazaaaa sautiii mala nyingiii labda ataitikaaa 😅😅😅😅😅kama atanigomea hadi mimi basi itakuwa n kweli kawa tajiri
dumbukia uswazi huko sinza mkuuHapa wapi ? Nami niko masaki ,bongoyo road /Street
tajiri Dahan unaitwa hukupazaaaa sautiii mala nyingiii labda ataitikaaa 😅😅😅😅😅
Oooohdumbukia uswazi huko sinza mkuu
huenda yupo na matajiri wenzake huko Ibizaaa 😅😅😅tajiri Dahan unaitwa huku
mwalimu wa maths kazi anayo mpaka kafika ibiza 😂huenda yupo na matajiri wenzake huko Ibizaaa 😅😅😅
😅😅😅 ataangusha mapicha kibao hapa yupo na ma superstar wenzake majuu hukoomwalimu wa maths kazi anayo mpaka kafika ibiza 😂
wanaigawa kama hawana akili nzuri,waache wafunge miaka 40 ikifika waanze kutusumbua
hii imeenda sio mwenetu tena ategemei likes😅😅😅 ataangusha mapicha kibao hapa yupo na ma superstar wenzake majuu hukoo
acha wazifunge tu ipo sikuwanaigawa kama hawana akili nzuri,
😅😅😅 ana chart sasa hivi na kina Niki Minaj tu.. nyie mnamletea shombo tuuhii imeenda sio mwenetu tena ategemei likes
'ipo siku utaniona mlangoni kwako'acha wazifunge tu ipo siku