Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,393
Kuna watu tumekosa usingizi lakini hatuna cha kufanya.
Mimi nipo nacheza muziki je wewe?
Mimi nipo nacheza muziki je wewe?
HapanaWewe nitakie usiku mwema[emoji23]
AlooNilisahau kununua dawa jioni hii. Na SASA maduka wamefunga na kutoka usiku nje jau sana kuna vibaka wahuni
I'm nervous😬😂😂😂Maama G on the beat.. Oky oky enjoy 😁😁😁😁
Nimepewa tenda usiku usikuHapana
Tuambiane kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Weka neti😎Nilisahau kununua dawa jioni hii. Na SASA maduka wamefunga na kutoka usiku nje jau sana kuna vibaka wahuni
Nyumba za kupanga neti utaifungiwa wapi mkuu ukisema ukutani si utagombana na mwenye nyumbaWeka neti[emoji41]
Wanakera sana mkuuAloo
Kwangu kero namba moja ni mbu aaah
Karibu lindoniDuh mpo
We mkuu kacheze master league🤣😂Hapana
Tuambiane kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
Umehamia hukuNimepewa tenda usiku usiku
Mimi ni contractor😂
Ahhah asante mkuu leo nipoKaribu lindoni
Tulikuwa tuna watania tu😂🤣Umehamia huku
Baada ya kumsumbua Cute Wife kule selfika😁
Haahahh pole sana kama huwezi kujiongeza hata kwaajili yako mwenyewe.. 😂😂😂😂, neti huna, dawa ya mbu huna, fan??? 😂 😂 DuhNyumba za kupanga neti utaifungiwa wapi mkuu ukisema ukutani si utagombana na mwenye nyumba
Upo wapi🤔, wakati we waga ni msaliti🤣😂😂Ahhah asante mkuu leo nipo
Ngoja nimuite aliendeleze hapaTulikuwa tuna watania tu😂🤣
Usicheke ndio nayaanza maisha ya kujitegemea mkuu kidogo kidogo hali itakuwa Sawa[emoji23][emoji23][emoji23]Haahahh pole sana kama huwezi kujiongeza hata kwaajili yako mwenyewe.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], neti huna, dawa ya mbu huna, fan??? [emoji23] [emoji23] Duh