JamiiForums Usiku wa manane
Nawewe yako kama ngozi ya goti😂😂😂🤝🤝
Sura Kama ndizi iliyo oza
FB_IMG_16862108564190810.jpg
🤣😂😂
 
Nimekupa taarifa tu, davido ndo kasema hivyo Jana mshamba_hachekwi
yeye mwenyewe alipata msaada kutoka kwa naeto c alipoanza..... hakuna mtu self made, wako level moja sasa and that's all that matters.... narudia tena kusema, there are 3 guys on the top, lakini hata niiambiwa nichague.... nachagua wizkid
 
bro anagalia hata consistence katika game, burnabka debut 2018 hit song.
👉Davido kazungumzia break-in mbona kina rema, kizz Daniel wamekubali🙄🤔
 
bro anagalia hata consistence katika game, burnabka debut 2018 hit song.
👉Davido kazungumzia break-in mbona kina rema, kizz Daniel wamekubali🙄🤔
sijakataa davido ni veteran, lakini burna yuko level moja na yeye sasa.... huwezi ongelea afrobeats bila kumtaja. Afu the fact kwamba amefanya vikubwa ndani ya mda mdogo inaonyesha he is better.....

you don't know who you're messing with, let me give you an idea
Screenshot_20221203-134406~2.png

achana na toxic fans kijana, tutakumaliza
 
Back
Top Bottom