Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,609
- 59,647
Shemiji yako usimzemie taa kijana huyo ni shemieji yako ooohoUmeamua u download kabisa sio 😁😁😁😅😅😅
04:09
Shemiji yako usimzemie taa kijana huyo ni shemieji yako ooohoUmeamua u download kabisa sio 😁😁😁😅😅😅
Haya bana mfaidi na sabuni mkuuShemiji yako usimzemie taa kijana huyo ni shemieji yako oooho
04:09
I got your back big bro, no matter what 🙏🙏💪Pamoja brother
Take your time, hope utatulia na ku heal mapema National Anthem 💪🙏🙏Banaaaa weweeee soon narudi kazini.. Kwa hasira kweli kweli
We hujui national alifiwa na mapacha wake??Mmmh ebu nipe full info
Mkuu ulijaribu kumuuliza shida ilikuwa nn hadi mapacha wakatuacha?? Kusema kweli siku ile nilikosa raha sana mpaka nikajisikia kuumwa.We hujui national alifiwa na mapacha wake??
Duuh hapana sikupata hiyo taarifa..We hujui national alifiwa na mapacha wake??
Yeah, nilitafutwa ili nipost Hilo Jambo. Bahati mbaya I was so busyDuuh hapana sikupata hiyo taarifa..
Daah National Anthem mkuu pole sana
Hapana, ila nitazungumza nae deep zaidi. Ili nijue tatizo au chanzo.Mkuu ulijaribu kumuuliza shida ilikuwa nn hadi mapacha wakatuacha?? Kusema kweli siku ile nilikosa raha sana mpaka nikajisikia kuumwa.
"Kupenda maradhi ya moyo"