JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

1683584686446.jpg
 
Kumbe wanavyosemaga hii ni mida ya wanga huwa wanamaanisha 😔

Nasikia vishindo vya kutisha juu ya Bati utasema paa linataka kutobolewa 🙌

3:44
 
Kumbe wanavyosemaga hii ni mida ya wanga huwa wanamaanisha [emoji17]

Nasikia vishindo vya kutisha juu ya Bati utasema paa linataka kutobolewa [emoji119]

3:44
Usiogope mkuu ni walinzi wa angani wanakagua lindo kama liko salama
 
Aisee unapitia hali mbaya kama kweli umefikia hatua ya kumeza vidonge ili kupata usingizi. Achana navyo, badirisha ratiba yako ya siku nzima, jioni mazoezi na usingizi utaupata vizuri tu.
Hapana Mkuu, Ni leo tu imetokea

Kijana wangu ameamka muda huu joto limempanda, hapa nampa panadol kujaribu kulishusha. Naona Mama yake anauchapa tu usingizi 😴
 
Hapana Mkuu, Ni leo tu imetokea

Kijana wangu ameamka muda huu joto limempanda, hapa nampa panadol kujaribu kulishusha. Naona Mama yake anauchapa tu usingizi [emoji42]
Hongera kwa kuwajibika, maana akina Baba wengine wangemwamsha Mama yake ampatie dawa kumbe ni wajibu wa kila mzazi
 
Ni kweli Mkuu, hapa nasikia kama wanatembea hapo Sebuleni.

Ila wakati naenda kufata dawa kwenye fridge si nikawasha taa, ghafla kimya kikatawala [emoji119]
Pole mkuu, nadhani mwanga wanaugopa kuna jamaa aliwahi kushtuliwa na sauti pamoja na vishindo kama watu wanatembea juu ya bati alipowasha taa tu wakanyamaza, akizima wanendelea, akaamua kutozima hakusikia tena sauti zao wala vishindo vyao
 
Back
Top Bottom