Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,961
- 24,187
I had an early nap. Nitakuwa lindoni mpaka baadae sana. Ndo kwanza saa 6.
Nishamquote mkuuUmejichanganya ee
Uko zamu?04:39
Nilikuwa zamu 09:30 ndio naingia kulala baada ya boss wangu kuniruhusu tulale sasa.Uko zamu?
Pole sana... hao maboss huwa wanapenda kweli shift za usiku kama wachinaNilikuwa zamu 09:30 ndio naingia kulala baada ya boss wangu kuniruhusu tulale sasa.