Binkcarter
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 415
- 466
Apan kukucha ni uongo mzee baba nitaanz kuaga kambi sio mda your in law need my company[emoji16]
Keep her company mzee[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102] me nakesha
Apan kukucha ni uongo mzee baba nitaanz kuaga kambi sio mda your in law need my company[emoji16]
Namna ya kulala.. Mara pande za ukuta Mara kiti.. yaani nashindwa kulala .. kila nikijaribu naona ghosts [emoji3][emoji3][emoji3]
Maybe [emoji38][emoji23], nitajaribuu
Hahahahahaaaaa aseee nimecheka kifala hii coment unaish pekeako mkuu??
I will do it, somehow💪💪Kujaribu Ndio Ishara ya maendeleo
Keep her company mzee[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102] me nakesha
But make sure kesho hautosinzia ukiwa kweny harakati za kutafta mkate wa kila siku
I will do it, somehow[emoji123][emoji123]
Man .. Niko alone.. najuta kusoma uzi
[emoji112]
I feel sorry for you, kama upo karib na pub y usitoke uka refresh huko nje hope akili itakaa sawa au ndo vile huwez kushuka hata kitandani[emoji3][emoji3]
Hapa Niko malager lager [emoji481]..
Hapa Niko malager lager [emoji481]..
1:25
Salam kwenu wakuu
Ni mitungi