Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,106
- 111,768
Sasa tuwe tumefanana saut hapo nan atakoromaYa radi ni 4....mi yangu ni 2
Sasa tuwe tumefanana saut hapo nan atakoromaYa radi ni 4....mi yangu ni 2
kaa na mrembo huyo😂 kazi njema mkuu
Muwe mnaniunganisha hizo mishe mkuu,mi nataka kuacha ualimu...kaa na kijana mwenzio, mie nina mission usiku huu
Ndo shida sasaSasa tuwe tumefanana saut hapo nan atakoroma
Afu mie ni mtu mzima mwenzio ujuekaa na mrembo huyo
....Nzito fulani
Ndo sauti yako?....
mmh,sawa mlee kijana huyo,sauti ikue vile unatakaAfu mie ni mtu mzima mwenzio ujue
Ngoja nimset mkuu...mmh,sawa mlee kijana huyo,sauti ikue vile unataka
ipi? Nina kigugumiziNdo sauti yako?
🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani🙌ipi? Nina kigugumizi
safi sanaNgoja nimset mkuu...
Mi nalala, usingizi hauji tumbo linanisumbua kweli jioni hiiipi? Nina kigugumizi
kigugumizi mixer na kithembe🤣🤣🤣🤣🤣 Jamani🙌
Mi Kijana mzee ila saut ndio inantupa mkonoNgoja nimset mkuu...
pole,umeshiba futariMi nalala, usingizi hauji tumbo linanisumbua kweli jioni hii
🤣🤣🤣 Haileti mzuka hata kidogo hiyokigugumizi mixer na kithembe
😂😂😂 aisee hiyo kombo ni nomakigugumizi mixer na kithembe
we kaishakuelewa,hy ya sauti isikusumbueMi Kijana mzee ila saut ndio inantupa mkono