Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Tulio pitia jkt kesho ni kwata mpaka job hakuna shida.

nimependa ubunifuTulio pitia jkt kesho ni kwata mpaka job hakuna shida.

nimependa ubunifuTupo wote mkuu humu,tuliopitia jkt bila kukapa C,tumoNaona leo niko mwenyewe
Niliona lindo limetulia nikajua futari inafanya kaziTupo wote mkuu humu,tuliopitia jkt bila kukapa C,tumo
Unaenda wapi sasa23:57
Nalog out
Tchaooo
Tupo mkuu,nimekamata nanga hapaNiliona lindo limetulia nikajua futari inafanya kazi
Basi vizuri, mimi leo usingizi hamna kabisaTupo mkuu,nimekamata nanga hapa
Mimi na wewe leo tupo mlangoni, mpaka asubuhiBasi vizuri, mimi leo usingizi hamna kabisa
Ngoja tuoneMimi na wewe leo tupo mlangoni, mpaka asubuhi

Karibu mkuu kwenye Lindo hili, hapa hakuna kulalaNawatizama tuu mnavyokoroma 00:21
Nipo mkuu lindoni naliwa na mbu tuu hapaKaribu mkuu kwenye Lindo hili, hapa hakuna kulala
Ondoa wasi damu zetu zina immune na malariaNipo mkuu lindoni naliwa na mbu tuu hapa
Karibu, make sure smg yako ipo jirani naweNipo Lindo...![]()
SafiNipo Lindo...![]()