Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,578
- 66,244
Utakufa embu laka ukoSijalala tangu juzi,nilala dakika tano tu uku nimesimama jana
Utakufa embu laka ukoSijalala tangu juzi,nilala dakika tano tu uku nimesimama jana
We ni mlinz wa bank?Sijalala tangu juzi,nilala dakika tano tu uku nimesimama jana
Bank sokoni pale mabiboWe ni mlinz wa bank?
Alafu anasema segerea amekuzoea,wakati anaishi Kama Digi Digi,kakimbilia kwa Bibi yake tukuyuNa nasikia keshamtia mimba wa kidato
Ww kuku lala bhnaAlafu anasema segerea amekuzoea,wakati anaishi Kama Digi Digi,kakimbilia kwa Bibi yake tukuyu
Tukuyu yupo bibi yanguAlafu anasema segerea amekuzoea,wakati anaishi Kama Digi Digi,kakimbilia kwa Bibi yake tukuyu
Hapana ,Mimi pastor,nachunga kondoo waliopotea ,Kama uyo dogo, Johnnie WalkerWe ni mlinz wa bank?
Ndo maana umesema Wala bure,aisee hujakosea....abiria zinamwagiwa mle balaaHapana ,Mimi pastor,nachunga kondoo waliopotea ,Kama uyo dogo, Johnnie Walker
Na Bibi yake pia,ndugu yako uyo,mfuatilie vizuri,huenda mtoto wa shangazi yako,na mbeya walokole wengi,sijui uyu mmemtoa wapiTukuyu yupo bibi yangu
🤣🤣🤣🤣🙌Na Bibi yake pia,ndugu yako uyo,mfuatilie vizuri,huenda mtoto wa shangazi yako,na mbeya walokole wengi,sijui uyu mmemtoa wapi
Hahahah nakula bure ndio,kazi na dawaNdo maana umesema Wala bure,aisee hujakosea....abiria zinamwagiwa mle balaa
Kuamka Apo saa Saba,uwe na usiku mwema
Nimeshaamka 05:50Kuamka Apo saa Saba,uwe na usiku mwema
Nimepata chimbo jipya mzee ngoja tumtume chambo wetu Analyse 😀Mwizi anaye chipukia National Anthem, mpiga chaboo Poor Brain, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, chambo wa chama Cha wezi Analyse leteni madeal tukaibe sasaa
Nipo mkuu 😄