Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,578
- 66,244
Natakiwa kulala si ndioSanaa
Natakiwa kulala si ndioSanaa
Hata kushika simu umekoseaNatakiwa kulala si ndio
Hapana hio sio mchana ni usikuNdicho nimemaanisha...si ni sawa na kunywa chai saa 1 asubuhi na chakula Cha mchana saa 9
🤣🤣🤣Wewe hatuelewani,haya sawa wanguHapana hio sio mchana ni usiku
Mh kwelHata kushika simu umekosea
Tunaelewana najua unanielewa na nakielewa Ila njia tunapita tofauti🤣🤣🤣Wewe hatuelewani,haya sawa wangu
Ndo ivo,age yako hairuhusu....unasoma saa ngapi?Mh kwel
Nimekuelewa ....vip lakini hatulali?Tunaelewana najua unanielewa na nakielewa Ila njia tunapita tofauti
fajiriNdo ivo,age yako hairuhusu....unasoma saa ngapi?
Hadi majogoo ndio tunaamua tunalala au tunaendeleaNimekuelewa ....vip lakini hatulali?
Kuanzia 10 au 11......kama ni 10 basi bado dk 2Al
fajiri
Mwili ukikosa usingizi unaharibika ujueHadi majogoo ndio tunaamua tunalala au tunaendelea
Hakuna kitu km hicho aseeMwili ukikosa usingizi unaharibika ujue
Yeah,adhanaHakuna kitu km hicho asee
Azana inalia
03:59
Saa kumi mpaka kumi na nusuKuanzia 10 au 11......kama ni 10 basi bado dk 2
Uwe unalala,kupumzisha akili na mwiliHakuna kitu km hicho asee
Azana inalia
03:59
Muda tayariSaa kumi mpaka kumi na nusu
Hailali hadi kunakuchaUwe unalala,kupumzisha akili na mwili
Mi nishaanza kuchoka.....nitakuacha ulinde na JohnnieHailali hadi kunakucha