National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
Mda wangu sasa wa kubembeleza nipewe mzigo 😅😅😅
Usije pewa mzigo wa mihogo ubebe mpa nyegenzi 😂😂Mda wangu sasa wa kubembeleza nipewe mzigo 😅😅😅
Nilitaka nikuite01:14
Ahh yeah Tuesday
Let's try it out, coz mpaka mishipauda mwingine inakuwa Kama inavimbaaI can treat you but you have to trust n believe me first you know I mean
01:07
Dogo subiri likizo iishie mrudi boarding, maana unatapika hovyooMkuu unakunyaa uji sasa ivi
Okay tell me how you feel pale unahisi kichwa kuuma ni wapi haswa kichwa kinauma eneo gan la kichwa pembeni, katikati, nyuma au mbele, you know I meanLet's try it out, coz mpaka mishipauda mwingine inakuwa Kama inavimbaa
Kuna nyumaa ya kisogo, mbele hapa juu kabla haujafika kitosini.Okay tell me how you feel pale unahisi kichwa kuuma ni wapi haswa kichwa kinauma eneo gan la kichwa pembeni, katikati, nyuma au mbele, you know I mean
01:21
Okay unatumia mda gan kupumzika baada ya shughuli za kila siku ? I mean relaxation like listening to good music on beach such as guitar, piano, violin, etc in low volumeKuna nyumaa ya kisogo, mbele hapa juu kabla haujafika kitosini.
👉Mishipa inakuwa Kama inakaza
👉Mwanga unakuwa mkali machoni
Mkuu mi nawazaga kazi sana tu, misosi na movie, games na music Sana tu . So haya maumivu nayatibu vipiiOkay unatumia mda gan kupumzika baada ya shughuli za kila siku ? I mean relaxation like listening to good music on beach such as guitar, piano, violin, etc in low volume
Kwa njia ya Meditation umewahi kufanya meditation ?Mkuu mi nawazaga kazi sana tu, misosi na movie, games na music Sana tu . So haya maumivu nayatibu vipii
Utapigwa risasi ya kaliooSijui nikaloge au basi ngoja nikachungulie watu madirishan nijue wamelal au wanafanya nn
HapanaKwa njia ya Meditation umewahi kufanya meditation ?
Uyo anaetaka nipiga ajiangalie mara kumi kwazaUtapigwa risasi ya kalioo