Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
AiseeKwenye private sms
Kwani vipi Mkuu
AiseeKwenye private sms
NipoooooNaona nifunge geti
Popo na bundi wote wamerudi bandani
Nilitaka nianze kuhesabu 1,2 3 kama Yono nifunge mjadala , 900 inapendeza ichukue nafas nifunge getNipooooo

Angali usikate mnofu jamaniNamlia timing hapa na wembe![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Saa tisa itapendeza zaidi, hujambo?Nilitaka nianze kuhesabu 1,2 3 kama Yono nifunge mjadala , 900 inapendeza ichukue nafas nifunge get![]()
HahaNilitaka nianze kuhesabu 1,2 3 kama Yono nifunge mjadala , 900 inapendeza ichukue nafas nifunge get![]()
Nina utaalam wa kukata wavu za madirishaAngali usikate mnofu jamani

Basi sawaNina utaalam wa kukata wavu za madirisha![]()
![]()
![]()
Sijambo dear, hapa macho yanataka kuzidi kulegeaSaa tisa itapendeza zaidi, hujambo?
Leo kuna afadhaliHaha
Kumepooza huku, inabidi nizunguke kidogo

Sijambo dear, hapa macho yanataka kuzidi kulegea

Mi nasubiri geti lifungweBasi sawa
Mie nilale sasa, huo wembe usijenipitia
Pole sana, ikifika saa 9 nakuruhusu ufunge getiSijambo dear, hapa macho yanataka kuzidi kulegea
Mwenyewe naishia jamaniLeo kuna afadhali
Naomba nikupe ufunguo ufunge kibanda pls![]()
Basi sawaMi nasubiri geti lifungwe
Nipoo bhanaKwahiy wote ndio mnanikimbia, subirini hadi saa tisa?