JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee nikajua unachanja mbuga
[emoji1787][emoji1787] nimepumzika siku ya tatu hii mvua sio rafiki sana nilipotaka kwenda kuingia alafu wametoka kwenye marekebisho ya barabara ni hapaingiliki 30km ya rough road! Nikikwama si ndio mpaka naoa kijijini hukohuko[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh tungekuokota umeanguka na gari mzee pumxika enjoy
 
Back
Top Bottom