Dahan
JF-Expert Member
- Oct 26, 2022
- 2,743
- 6,283
Tupoo mkuu😂😂😂Siamini kama nimeachiwa nilinde peke yangu hapa na huu ukimya
Tupoo mkuu😂😂😂Siamini kama nimeachiwa nilinde peke yangu hapa na huu ukimya
Mbona kimya sasa, mnataka mpaka mtu achukue ndoo ya maji na kuoga hapo nje mumzodoe?Tupoo mkuu😂😂😂
We oga tuuu hatuoni walaaa😂😂😂Mbona kimya sasa, mnataka mpaka mtu achukue ndoo ya maji na kuoga hapo nje mumzodoe?
Nimesikia kuna kitu kimedondoka huko barazani najua kuna mtu kaangusha tu alikuwa ananyatia. Siogi nje muda huu mmeshaamkaWe oga tuuu hatuoni walaaa😂😂😂
Tuko bizy.. tunajiandaa andaa na morning glory 😁😁
Hadi kieleweke mkuu👍Tuendereeee
04:30
🖐🏿🖐🏿...Morning glory time😍😍😍
Tujiandae kwa maombi na mazoezi guys😀😀😀
Kumekucha mkuu.
HAPA MKUU
Safi mida ya kupiga morning glory, alafu singles tunapiga mihayoHAPA MKUU