Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,390
- 96,695
Poor Brain and Dahan weraaa ariii uuu naoo
Wee ngoja kwanza Santos06 afanye yake😔😔 tarudii badaePoor Brain and Dahan weraaa ariii uuu naoo
😂😂😂Mambo ya kuambiwa akutwa juu ya paa la watu apigwa, azimia afa.. 😂😂Mie nataka? hakuuu😂😂Nimamalza
Sahizi mvua kubwa kwetu wachawi ni tabu tupu😂😂😂😂Mambo ya kuambiwa akutwa juu ya paa la watu apigwa, azimia afa.. 😂😂Mie nataka? hakuuu😂😂
Nauza nyokaa na mayai yakeeWee ngoja kwanza Santos06 afanye yake😔😔 tarudii badae
Hulali wewe02:00👌 no escape
Kuna nini tena?🕒am.
Nitoke nje uchiiii...🤔🤔 tatzo sijui hata dawa ya kutibu maumivu ya tumbo, na jiran yng alivyo mbea, asubuhi na mapema nitakayo yakuta mtaani naweza nikauwa mtu bila kuksudia.🛌🛌🛌
Bichwa lako muone 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hamna mbona nawazaga hilo kila mda ni vile nilishindwa kuandika...
Natumai unaendelea vizuri kabisa