charenger
Senior Member
- Mar 16, 2023
- 181
- 261
rohombaya tuu imekujaaHata like sikupi,View attachment 2558657
rohombaya tuu imekujaaHata like sikupi,View attachment 2558657
iladan nitamchukua tuu.Usiliee Sasa, I mean no malice to nobody
Usiku hukuwa lindo.Nimekuja kureport tuu
Chap narudi usingizini
Usiku hukuwa lindo.
Muda huu uwe kitengoni sasa. Au la kama walala, saa 7 usiku uripoti kazini.Hahhah hapana nili report chap nkakimbia
Muda huu uwe kitengoni sasa. Au la kama walala, saa 7 usiku uripoti kazini.
Siku hizi mahudhurio yako ni duni. Nilikuuliza ukasema umehamishwa kitengo.Sawa mkuu nitajitahidi ku report mapema tuu
Siku hizi mahudhurio yako ni duni. Nilikuuliza ukasema umehamishwa kitengo.


Jobless hawezi kuwa na tumiguu tuzuri namna hiyo.Hahhha uliniulizia wapi wakati me jobless mtafutaji mkuu![]()
Vipi umepona mafuriko mzee baba? 🤔Naona chama Cha wezi wa kimataifa kimekuwa 5 star mwizi anaye chipukia National Anthem, mwenyekiti wa mizagamuano Mzee wa kupambania, mpiga chaboo Poor Brain, na chambo wa chama Cha wezi Analyse
Jobless hawezi kuwa na tumiguu tuzuri namna hiyo.


Nizungukie na mimi basi. Nisafishe macho. Tafadhali 🤣🤣🤣🤣
Ndio nazunguka nazo kutafuta kazi
Nizungukie na mimi basi. Nisafishe macho. Tafadhali![]()
Kazi zipo nyingi. Zunguka tu. Siku hiyo hiyo unaweka dole gumbaUna kazi ya kuniajiri sasa nianze kuzunguka kesho
Kazi zipo nyingi. Zunguka tu. Siku hiyo hiyo unaweka dole gumba
Niliandaa mtumbwiiVipi umepona mafuriko mzee baba? 🤔
Anaitwa Johnnie WalkerHivi Mwachiluwi kapotelea wapi aisee? 😅😅😅
Kijana wa ovyo huyo. Kaonjeshwa pombe kidogo na Mzee wa kupambania , kaamua abadili na jina kabisa 😅😅😅Anaitwa Johnnie Walker
🤣🤣🤣🤣🙌Kijana wa ovyo huyo. Kaonjeshwa pombe kidogo na Mzee wa kupambania , kaamua abadili na jina kabisa 😅😅😅
Nitakuja na helicopter nitakuvuta na kambaNiliandaa mtumbwii