Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,138
Wee unakesha tuuKulalaje tena?
Wee unakesha tuuKulalaje tena?
Nasonga ugali kilo 1, na dagaa. Kisha najiandaa kwenda kukaba👉Sera zetu👉 Panga mkononi.Jpili leo.. tunaenda viwanja vipi..?
Daaah kahawa zinawaaribu nyieAna zania kila mtu, ana lala Kama mbuziii😁😁😆😎 Poor Brain
Alafu hivi wee upo KATAA NDOA GANG..?Nasonga ugali kilo 1, na dagaa. Kisha najiandaa kwenda kukaba👉Sera zetu👉 Panga mkononi.
👉 Roho begani
Situmii kahawa,sigara bangi na hata bange. 👉Wanawake wapitee kule.Daaah kahawa zinawaaribu nyie
Wee unatumia nini sasa...🤓🤓🤓🤓Situmii kahawa,sigara bangi na hata bange. 👉Wanawake wapitee kule.
Natafuta pesa, niishi ndani ya malengo na ndoto zangu👉💪Alafu hivi wee upo KATAA NDOA GANG..?
Kuna mda wa ku relax sasaNatafuta pesa, niishi ndani ya malengo na ndoto zangu👉💪
Just focusing, msosi, movie, game,music and WWE. Are my favorite 💪💪Wee unatumia nini sasa...🤓🤓🤓🤓
Elon musk alipumzika saa 1 tu, Tena muda wa kulala. So am trying to achieve my vision.💪👉🙏Kuna mda wa ku relax sasa
Unapumzka lisaa limoja kweli...?Elon musk alipumzika saa 1 tu, Tena muda wa kulala. So am trying to achieve my vision.💪👉🙏
Yeah. and I enjoy itUnapumzka lisaa limoja kweli...?
Kiberiti?Napenda harufu ya hii kitu asseeView attachment 2547894
Napenda harufu ya hii kitu asseeView attachment 2547894
😂😂Harufu ya fa au io cndm hapo juu😅😅😅Napenda harufu ya hii kitu asseeView attachment 2547894
Harufu ya moshi😂😂Harufu ya fa au io cndm hapo juu😅😅😅
Sijui kwann naipenda aseeSi unamaliza kiberiti
Kiberiti?
Sijui kwann naipenda asee