JamiiForums Usiku wa manane
Nawasalimu kwa niaba ya watoto za usiku

Tuanze kusogea mdogo mdogo Kanali G you ain't a real G jana umedodge una E ya 46 jitahidi walahu upate B ya 72 🤪

Dahan mama la mama how was your women's day 🤣🤣 🤺

tchaot naomba usi like hii comment
Poor Brain hujawasili mirembe kweli 🤔🤔🤔
Narudisha zile dislike zako alaaaah🥵
 
Back
Top Bottom