Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,415
- 30,132
Sio mapenzi 😅😅😆🤣😂 hatimae
Sio mapenzi 😅😅😆🤣😂 hatimae
Eeiw, moyo unaweza ukaacha kudunda 😅😅😅Vyote kwa pamoja
Bahati yako 🤣Sio mapenzi 😅😅
Acha tu machozi yanatoka, hamu ya kula haipo, kichwa inawaka motoEeiw, moyo unaweza ukaacha kudunda 😅😅😅
Mapenzi sio shida zangu mimiBahati yako 🤣
Aisee pole sana ( kama ni kweli)Acha tu machozi yanatoka, hamu ya kula haipo, kichwa inawaka moto
Asantee (ni kweli eti )Aisee pole sana ( kama ni kweli)
Mmmh hiyo cocktail ya mikopo, ulikuwa unashida gani haswa?Asantee (ni kweli eti )
Sio kapu.. Was just a plan😂😂😂Ko unaona huko boarding ndo kapu la kutunza watoto🤔, Afu hayo marangi rangi usoni Kama ice cream vepeee
Kuna muda kuna vitu vinatokea nje ya matarajio na mipango na unaweza sema nijitahidi niweke sawa kumbe ndo unaharibu ukija kutahamaki things are fall apart na ushadumbukia shimoniMmmh hiyo cocktail ya mikopo, ulikuwa unashida gani haswa?
Utasema hata kama ni shida yako?Mapenzi sio shida zangu mimi
Vikinikaba kwanini nisiseme😀😀Utasema hata kama ni shida yako?
🤣 na vikukabe ipasavyo mpaka uache kale katabiaVikinikaba kwanini nisiseme😀😀
Mi mwamba pande hizo sio rahisi😅🤣 na vikukabe ipasavyo mpaka uache kale katabia
Mwamba eh 😂 ngoja ukutane na bwana pepsi ndio utajua kuwa u mwamba au mwamba imaraMi mwamba pande hizo sio rahisi😅
😅😅😅nshavuka hukoMwamba eh 😂 ngoja ukutane na bwana pepsi ndio utajua kuwa u mwamba au mwamba imara
Wanasemaga hivyo hivyo😅😅😅nshavuka huko
Mi nshatoka huko 😅😅😅Wanasemaga hivyo hivyo