Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 27,494
- 55,141
Yupo south SudanHivo tatibu bingwa wa tatizo lako hajafika?
Yupo south SudanHivo tatibu bingwa wa tatizo lako hajafika?
7 kheeeeee 😮😮😮😂😂😂Unaweza kuvuka zebra?
Nategemea ivyo Intelligent businessman atakucheka tena sikuiz nae huyu anapenda kunyanduana kipindi kile alikuwa ataki kabisa kusikia umemfundisha tabia mbayaNishapata sasa hvi kidgo nipo vizuri..
Sitokua tena poor brain😂😂😂
Mbona tafsida tena😂😂😂Unaweza kuvuka zebra?
Tutafutie haloperidol Uchira 1 😂Bora umenisaidia katika majibu hayo. Nlikuwa najiuliza ni ndoto au n nn. Basi Dahan Mwone Mwachiluwi kwa msaada zaidi maana wagonjwa wengine wanateseka na kelele zako. Ila Mwachiluwi ukishindwa usisite kunijuza maana mie ndo kada yangu hiyo
Karibu upate cha asubuhi04:15
Show za kuiga siwezi mwaego😂😂😂😂 submissive😂😂😂😂 sasa hawa ndio sababu ya mimi kutaka tupige show mm na wew tena njoo home saa saba ile tuanze 😂😂
Mi huwa sifanyi hizo mambo! Vp hujalala hata kidogo?Karibu upate cha asubuhi
Kwani ssi tunaiga wao bhna ww njoo kesho au nije mimi kesho kwakoShow za kuiga siwezi mwaego😂😂😂😂 submissive
🤸🤸🤸🎶🎶🤖👾🤖👾Mi huwa sifanyi hizo mambo! Vp hujalala hata kidogo?
Wakamiaji kazini..😂😂😂Kwani ssi tunaiga wao bhna ww njoo kesho au nije mimi kesho kwako
Vp,fresh mkuu?🤸🤸🤸🎶🎶🤖👾🤖👾
Ahaha ww ufanyi umewekewa zipu ya chuma kiasi kwamba mtu mpaka aifungue teyali baba kalalaMi huwa sifanyi hizo mambo! Vp hujalala hata kidogo?
Fanyia kazi hayo kwanza😂😂Kwani ssi tunaiga wao bhna ww njoo kesho au nije mimi kesho kwako
Yeah,am a newborn sikuhizi😉Ahaha ww ufanyi umewekewa zipu ya chuma kiasi kwamba mtu mpaka aifungue teyali baba kalala
Vipi Bantu Lady aliahakupa wale ma bint alio kuwahidiWakamiaji kazini..😂😂😂