Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,353
- 96,634
Ko una maanisha limbwata lako limefelii??Amenitoroka mkuu, mwezi sasa sina taarifa zake sijui kafungiwa wapi
Ko una maanisha limbwata lako limefelii??Amenitoroka mkuu, mwezi sasa sina taarifa zake sijui kafungiwa wapi
Ehh nimekupa chance, waulize tuHao mashemeji zangu
Message sent and deliveredUshazingua, vipi unichagulie silaha!!.
Kama uko vizuri kwa uliyoyasema, Basi wafanyie waliokuzaa
This is the result you get, after swallowing the pill firstMessage sent and delivered
Mkuu ni wengee au uko nje ya nchii coz ni 03;15Tuendelee na lindo 02:14
Mganga wangu aliniagiza nimpelekee Tv na king'amuzi kipindi cha kombe la dunia. Nikachelewa kupeleka vifaa kombe likawa limeisha nahisi alinipa dawa fake kabisa.Ko una maanisha limbwata lako limefelii??
Unalalaje kama kuku 🤣🤣🤣04:27 nakabidhi lindo