Aloo Ovahimba hawajakutosha tuu mkuu🤣🤣Atokee mtu PM tuvurugane basi. Itakuwa poa akiwa mdada au mmama
03:28
Wow karb hapa Chunya kiwanja flan hv daah, Chunya Pazuuri. Pamefana knoma .03:37
Unalalaje mapema hivi kaka kuku? Ndiyo kwanza 03:44Wanangu eeh nimechoka aseee kesho![]()
5:12 Am04:02![]()
Asante kwa salam. Bwanaee jana nilikuwa mpole sana. Hapa ndo najiandaa kutoka. Kwema huko?Ndugu yangu wa damu Mzee wa kupambania salam kwako najua leo upo na famulia
The night is over
😂 nilikua katika majukumu ya 14 februaryJana umezingua sana
nilikua katika majukumu ya 14 february
Acha tu,nilikotupwaU wapi Unique Flower . Wap mtoto mzuri To yeye u wapi mtu wa kitengo cha sindano Half american . Uko wapi mtu wa kitengo cha dawa za usingizi Mwachiluwi uko wapi bingwa wa upasuaji KANAL. Mtu wa maombi mjumbe wa bwana upo?
Ulitupwa jaaani😂 pole To yeyeAcha tu,nilikotupwa