JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

😂😂😂 mimi mtoto wa mjini aki

Af wewe unatakiwa upelekwe jandoni kiuno kigumu sana iko kama umekula miogo ya kuanikwa utotoni
Mie na minyama trako lipo nanyonga kiuno feni weka mbali , najua kukanda bwana , kumpa vyote , kumfua na mfua bwana hadi anatakata Kuna mtu anajua hayoo hayupo angekuona ungekula ban
 
Mie na minyama trako lipo nanyonga kiuno feni weka mbali , najua kukanda bwana , kumpa vyote , kumfua na mfua bwana hadi anatakata Kuna mtu anajua hayoo hayupo angekuona ungekula ban

[emoji23][emoji23][emoji23] nionjeshe kidogo bas
 
Back
Top Bottom